-
Hesabu 24:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Amejikunyata, amelala chini kama simba,
Na kama simba, ni nani anayethubutu kumwamsha?
Wale wanaokubariki wamebarikiwa,
Na wale wanaokulaani wamelaaniwa.”+
-