-
Mwanzo 38:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Akiwa huko, Yuda akamwona binti ya Mkanaani fulani+ aliyeitwa Shua. Basi akamwoa na kulala naye,
-
-
Mwanzo 38:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kwa mara nyingine tena akazaa mwana na kumpa jina Shela. Shela alipozaliwa, Yuda alikuwa Akzibu.+
-
-
Mwanzo 38:26Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
26 Basi Yuda akavichunguza na kusema: “Yeye ni mwadilifu kuliko mimi, kwa sababu sikumruhusu Shela mwanangu amwoe.”+ Yuda hakufanya ngono naye tena baada ya hayo.
-
-
1 Mambo ya Nyakati 4:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Wana wa Shela+ mwana wa Yuda walikuwa Eri baba ya Leka, Laada baba ya Maresha, na familia za wafumaji wa vitambaa bora wa nyumba ya Ashbea,
-