-
Kutoka 14:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Alikuwa akiyang’oa magurudumu ya magari yao ya vita hivi kwamba waliyaendesha kwa shida, na Wamisri walikuwa wakisema: “Na tuwakimbie Waisraeli tusiwakaribie kamwe, kwa sababu Yehova anawapigania dhidi ya Wamisri.”+
-
-
1 Samweli 4:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Ole wetu! Ni nani atakayetuokoa kutoka katika mkono wa Mungu huyu mkuu? Huyu ndiye Mungu aliyewachinja Wamisri kwa kila aina ya mapigo nyikani.+
-