-
Mwanzo 49:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 “Yosefu+ ni chipukizi la mti unaozaa matunda mengi, mti ulio kando ya chemchemi unaozaa matunda mengi, wenye matawi yanayoenea juu ya ukuta.
-