Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 24:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Sasa Yehova akamwambia Musa: “Panda uje kwangu mlimani na ukae huku. Nitakupa mabamba ya mawe yenye sheria na amri nitakazoandika ili kuwafundisha watu.”+

  • Kutoka 31:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Sasa mara tu alipomaliza kuzungumza naye kwenye Mlima Sinai, alimpa Musa mabamba mawili ya Ushahidi,+ mabamba ya mawe yaliyoandikwa kwa kidole cha Mungu.+

  • Kutoka 32:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 Mabamba hayo yalitengenezwa na Mungu, na maandishi yake yalikuwa maandishi ya Mungu yalichongwa kwenye mabamba hayo.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki