Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 5:24
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 24 Kisha mkasema, ‘Tazama, Yehova Mungu wetu ametuonyesha utukufu wake na ukuu wake, nasi tumesikia sauti yake kutoka katika moto.+ Leo tumeona kwamba Mungu anaweza kuongea na mwanadamu na mwanadamu huyo aendelee kuishi.+

  • Kumbukumbu la Torati 9:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Nikaanza kutoa dua kwa Yehova na kusema, ‘Ee Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, usiwaangamize watu hawa. Wao ni mali yako binafsi,*+ watu uliowakomboa kwa ukuu wako na kuwatoa Misri kwa mkono wenye nguvu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki