Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 14:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Wamisri wakawafuatia; farasi wote wa Farao, magari yake ya vita, na askari wake wapanda farasi wakaanza kuwafuatia katikati ya bahari.+

  • Kutoka 14:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Maji yaliyokuwa yakirudi yalifunika magari ya vita na askari wapanda farasi na wanajeshi wote wa Farao waliokuwa wameingia baharini kuwafuatia.+ Hakuna hata mmoja wao aliyeokoka.+

  • Waebrania 11:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Kwa imani walipita katika Bahari Nyekundu kama kwenye nchi kavu,+ lakini Wamisri walipojaribu kupita wakamezwa.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki