Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 20:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 “Waambie hivi Waisraeli: ‘Mwanamume yeyote Mwisraeli na mgeni yeyote anayeishi katika nchi ya Israeli atakayemtoa mtoto wake dhabihu kwa Moleki ni lazima auawe.+ Watu wote wanapaswa kumuua kwa kumpiga mawe.

  • Mambo ya Walawi 20:27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 “‘Mwanamume au mwanamke yeyote ambaye anawasiliana na roho au ni mbashiri* lazima auawe.+ Watu wanapaswa kuwaua kwa kuwapiga mawe. Watakuwa na hatia kwa sababu ya vifo vyao wenyewe.’”*

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki