-
Ayubu 31:24Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
24 Ikiwa nilifanya dhahabu kuwa tumaini langu
Au kuiambia dhahabu bora, ‘Wewe ni mlinzi wangu!’+
-
-
Ayubu 31:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Basi hilo ni kosa linalostahili adhabu kutoka kwa waamuzi,
Kwa maana nitakuwa nimemkana Mungu wa kweli aliye juu.
-