-
Hesabu 31:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Lakini Waisraeli waliwachukua mateka wanawake wa Midiani na watoto wao. Walichukua pia wanyama wao wote, naam, mifugo yao yote, na mali zao zote.
-
-
Kumbukumbu la Torati 20:13, 14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 na kwa hakika Yehova Mungu wenu atalitia mikononi mwenu, nanyi mtamuua kwa upanga kila mwanamume aliye ndani ya jiji hilo. 14 Hata hivyo, mtajichukulia wanawake, watoto, mifugo, na kila kitu kilicho jijini, nyara zake zote,+ nanyi mtakula nyara za maadui wenu ambazo Yehova Mungu wenu amewapa ninyi.+
-