-
2 Samweli 11:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Jioni moja Daudi aliamka kitandani akaenda kutembeatembea juu ya paa la nyumba ya mfalme.* Akiwa kwenye paa alimwona mwanamke akioga, na mwanamke huyo alikuwa mrembo sana.
-
-
Matendo 10:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Siku iliyofuata, wakiwa safarini karibu kufika kwenye jiji hilo, Petro alipanda kwenye paa la nyumba karibu saa sita* ili kusali.
-