Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 34:11, 12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Kisha Shekemu akamwambia baba ya Dina na ndugu zake: “Naomba nipate kibali machoni penu, nami nitawapa chochote mtakachoniomba. 12 Mnaweza kudai nitoe kiasi kikubwa sana cha mahari na zawadi.+ Niko tayari kuwapa chochote mtakachoniambia. Nipeni tu msichana huyu awe mke wangu.”

  • Kutoka 22:16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 “Sasa mwanamume akimtongoza bikira ambaye hajachumbiwa kisha alale naye, lazima alipe mahari ili msichana huyo awe mke wake.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki