Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 38:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Lakini Onani alijua kwamba mzao huyo hangehesabiwa kuwa wake.+ Kwa hiyo alipolala na mke wa ndugu yake, alimwaga shahawa zake ardhini ili asimpe ndugu yake mzao.+

  • Ruthu 4:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Namchukua pia Ruthu Mmoabu, mke wa Maloni, awe mke wangu ili kurudisha jina la mwanamume huyo aliyekufa katika urithi wake,+ ili jina la mwanamume huyo aliyekufa lisifutiliwe mbali kutoka kati ya ndugu zake na kutoka katika lango la jiji lake. Ninyi ni mashahidi leo.”+

  • Ruthu 4:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Kisha wanawake majirani wakampa jina. Wakasema, “Naomi amezaa mwana,” nao wakamwita Obedi.+ Yeye ndiye baba ya Yese,+ aliyemzaa Daudi.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki