-
Kumbukumbu la Torati 4:40Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
40 Ni lazima mshike masharti yake na amri zake ninazowapa ninyi leo, ili mambo yawaendee vyema ninyi na wana wenu baada yenu, ili mwendelee kuishi kwa muda mrefu katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa.”+
-