-
Kumbukumbu la Torati 16:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Shangilieni wakati wa sherehe yenu,+ ninyi na wana wenu, mabinti wenu, watumwa wenu wa kiume, vijakazi wenu, Walawi, wakaaji wageni, mayatima, na wajane walio ndani ya majiji yenu.
-