Kutoka 20:25 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 25 Ikiwa mtanijengea madhabahu ya mawe, msiijenge kwa mawe yaliyokatwa kwa vifaa.*+ Kwa maana mkiyachonga kwa tindo, mtaitia madhabahu hiyo unajisi.
25 Ikiwa mtanijengea madhabahu ya mawe, msiijenge kwa mawe yaliyokatwa kwa vifaa.*+ Kwa maana mkiyachonga kwa tindo, mtaitia madhabahu hiyo unajisi.