-
Kutoka 24:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Sasa Yehova akamwambia Musa: “Panda uje kwangu mlimani na ukae huku. Nitakupa mabamba ya mawe yenye sheria na amri nitakazoandika ili kuwafundisha watu.”+
-