-
Kumbukumbu la Torati 19:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 “Mtakapopokea urithi wenu katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa mwimiliki, hampaswi kusogeza alama ya mpaka+ wa jirani yenu kutoka mahali ambapo uliwekwa na mababu zenu.
-
-
Methali 23:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Usiisogeze alama ya kale ya mpaka+
Wala kuingia katika shamba la mayatima.
-