Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 18:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 “‘Usifanye ngono na dada yako, awe ni binti ya baba yako au binti ya mama yako, awe amezaliwa katika nyumba ileile au amezaliwa nje.+

  • Mambo ya Walawi 20:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 “‘Mwanamume akifanya ngono na dada yake, binti ya baba yake au binti ya mama yake na kuona uchi wake na binti huyo pia aone uchi wake, ni jambo la aibu.+ Ni lazima wauawe mbele ya watu wote. Amemwaibisha dada yake.* Anapaswa kuadhibiwa.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki