-
2 Mambo ya Nyakati 25:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Basi Amazia akawaagiza wanajeshi waliokuwa wamekuja kwake kutoka Efraimu waende zao, warudi kwao. Hata hivyo, waliwakasirikia sana watu wa Yuda, basi wakarudi kwao wakiwa wamekasirika sana.
-