Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 16:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Malaika wa Yehova akaendelea kusema: “Sasa una mimba, nawe utazaa mwana, nawe unapaswa kumpa jina Ishmaeli,* kwa maana Yehova amesikia mateso yako.

  • Mwanzo 25:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kulingana na asili za koo zao: Nebayothi+ mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, kisha Kedari,+ Adbeeli, Mibsamu,+

  • Mwanzo 28:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 kwa hiyo Esau akaenda kwa Ishmaeli mwana wa Abrahamu na kumwoa Mahalathi binti ya Ishmaeli, dada ya Nebayothi, kuongezea wake wengine aliokuwa nao.+

  • Mwanzo 37:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Basi wafanyabiashara hao Wamidiani+ walipokuwa wakipita, ndugu zake walimtoa shimoni na kumuuza kwa hao Waishmaeli kwa vipande 20 vya fedha.+ Watu hao wakampeleka Yosefu Misri.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki