Waamuzi 8:21 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 21 Basi Zeba na Zalmuna wakamwambia, “Tuue wewe mwenyewe, kwa maana mwanamume hujulikana kwa nguvu zake.”* Basi Gideoni akawaua Zeba na Zalmuna+ na kuchukua mapambo yenye umbo la mwezi mwandamo yaliyokuwa shingoni mwa ngamia wao.
21 Basi Zeba na Zalmuna wakamwambia, “Tuue wewe mwenyewe, kwa maana mwanamume hujulikana kwa nguvu zake.”* Basi Gideoni akawaua Zeba na Zalmuna+ na kuchukua mapambo yenye umbo la mwezi mwandamo yaliyokuwa shingoni mwa ngamia wao.