Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 9:16-18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 16 “Je, mmetenda kwa unyoofu na heshima kwa kumweka Abimeleki kuwa mfalme,+ na je, mmemtendea wema Yerubaali na nyumba yake, je, mmemtendea anavyostahili? 17 Baba yangu alipowapigania,+ alihatarisha uhai wake* ili kuwaokoa kutoka mikononi mwa Wamidiani.+ 18 Lakini leo mmeasi nyumba ya baba yangu na kuwaua wanawe 70 juu ya jiwe moja.+ Kisha mkamweka Abimeleki, mwana wa kijakazi wake,+ awe mfalme juu ya viongozi wa Shekemu kwa sababu tu yeye ni ndugu yenu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki