-
Waamuzi 14:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Siku ya nne wakamwambia hivi mke wa Samsoni: “Mshawishi mume+ wako ili atutegulie kitendawili hicho. Kama sivyo, tutakuteketeza kwa moto pamoja na watu wa nyumba ya baba yako. Je, mlitualika hapa ili mchukue mali zetu?”
-