-
Waamuzi 14:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Na watu walipomwona, wakamletea vijana 30 wa kuandamana naye.
-
-
Waamuzi 15:1, 2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Baada ya muda, wakati wa mavuno ya ngano, Samsoni alimchukua mwanambuzi na kwenda kumtembelea mke wake. Akasema: “Ningependa kuingia nikamwone mke wangu katika chumba cha kulala.”* Lakini baba ya mwanamke huyo hakumruhusu kuingia. 2 Baba ya mwanamke huyo akasema, “Nilidhani, ‘Hakika unamchukia.’+ Kwa hiyo nikampa kijana mwenzako.+ Dada yake mdogo ni mrembo kuliko yeye. Tafadhali, mchukue huyo badala yake.”
-