Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:15, 16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 15 Basi akampeleka Yehoyakini+ uhamishoni Babiloni;+ alimpeleka pia mama ya mfalme, wake za mfalme, maofisa wa makao yake, na viongozi wa nchi, akawapeleka uhamishoni Babiloni kutoka Yerusalemu. 16 Pia mfalme wa Babiloni aliwapeleka uhamishoni Babiloni mashujaa wote, 7,000, na vilevile mafundi na wahunzi* 1,000, wote walikuwa wanaume mashujaa waliozoezwa kupigana vita.

  • 2 Wafalme 25:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Nebuzaradani mkuu wa walinzi aliwapeleka uhamishoni watu wote waliobaki jijini, watu waliojisalimisha kwa mfalme wa Babiloni, na watu wengine.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 36:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Aliwachukua mateka na kuwapeleka Babiloni wale ambao hawakuuawa kwa upanga,+ nao wakawa watumishi wake+ na wa wanawe mpaka ufalme wa Uajemi ulipoanza kutawala,+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki