-
Mambo ya Walawi 27:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Hizo ndizo sheria ambazo Yehova alimpa Musa kwenye Mlima Sinai ili awape Waisraeli.+
-
-
Kumbukumbu la Torati 12:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 “Haya ndiyo masharti na sheria ambazo mnapaswa kuwa waangalifu kutekeleza sikuzote mtakazokuwa hai katika nchi ambayo Yehova Mungu wa mababu zenu atawapa mwimiliki.
-
-
Nehemia 9:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Wafalme wetu, wakuu wetu, makuhani wetu, na mababu zetu hawajashika Sheria yako wala kusikiliza amri zako wala vikumbusho ulivyowapa* ili kuwaonya.
-