-
Mambo ya Walawi 25:42Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
42 Kwa maana wao ni watumwa wangu niliowatoa nchini Misri.+ Hawapaswi kujiuza kama mtumwa anavyouzwa.
-
-
Kumbukumbu la Torati 5:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Kumbuka kwamba ulikuwa mtumwa nchini Misri, na mimi Yehova Mungu wako nikakutoa huko kwa mkono wenye nguvu na mkono ulionyooshwa.+ Ndiyo sababu mimi Yehova Mungu wako nilikuamuru uishike siku ya Sabato.
-