-
Ezra 2:43-54Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
43 Watumishi wa hekaluni:*+ wana wa Siha, wana wa Hasufa, wana wa Tabaothi, 44 wana wa Kerosi, wana wa Siaha, wana wa Padoni, 45 wana wa Lebana, wana wa Hagaba, wana wa Akubu, 46 wana wa Hagabu, wana wa Salmai, wana wa Hanani, 47 wana wa Gideli, wana wa Gahari, wana wa Reaya, 48 wana wa Resini, wana wa Nekoda, wana wa Gazamu, 49 wana wa Uza, wana wa Pasea, wana wa Besai, 50 wana wa Asna, wana wa Meunimu, wana wa Nefusimu, 51 wana wa Bakbuki, wana wa Hakufa, wana wa Harhuri, 52 wana wa Basluthi, wana wa Mehida, wana wa Harsha, 53 wana wa Barkosi, wana wa Sisera, wana wa Tema, 54 wana wa Nezia, wana wa Hatifa.
-
-
Ezra 8:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Kisha nikawapa amri kuhusu Ido kiongozi wa Kasifia. Nikawaagiza wamwambie Ido na ndugu zake, watumishi wa hekaluni* waliokuwa huko Kasifia, watuletee wahudumu kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
-
-
Ezra 8:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Na kulikuwa na watumishi wa hekaluni* 220, ambao Daudi na wakuu walikuwa wamewatoa kwa ajili ya utumishi wa Walawi, wote walikuwa wametajwa kwa majina.
-