-
Ayubu 42:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Sasa chukueni ng’ombe dume saba na kondoo dume saba kisha mwende kwa mtumishi wangu Ayubu, na mtoe dhabihu ya kuteketezwa kwa ajili yenu. Na mtumishi wangu Ayubu atasali kwa ajili yenu.+ Kwa hakika nitakubali ombi lake* nami sitawatendea kulingana na upumbavu wenu, kwa sababu hamkusema ukweli kunihusu kama alivyofanya mtumishi wangu Ayubu.”
-