-
Ayubu 18:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Vitisho vinamwogopesha pande zote+
Na kumfuatia miguuni pake.
-
-
Ayubu 20:25Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
25 Huchomoa mshale mgongoni mwake,
Silaha inayong’aa kutoka kwenye nyongo yake,
Naye hushikwa na hofu.+
-