-
Ayubu 14:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Kama maji yanavyomomonyoa mawe
Na mafuriko yanavyosomba udongo,
Ndivyo ulivyoharibu tumaini la mwanadamu anayeweza kufa.
-
-
Ayubu 19:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Hunibomoa kila upande na kuniangamiza;
Anang’oa tumaini langu kama mti.
-