Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ayubu 8:13, 14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa* wote wanaomsahau Mungu,

      Kwa maana tumaini la wanaomkataa Mungu* litapotea,

      14 Ambao tegemeo lao ni ubatili

      Na ambao tumaini lao ni hafifu kama utando wa* buibui.

  • Ayubu 11:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Lakini macho ya waovu yatadhoofika;

      Nao hawatapata mahali pa kukimbilia,

      Na tumaini lao pekee litakuwa kifo.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki