-
Ayubu 3:23Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
23 Kwa nini anampa nuru mwanamume aliyepotea njia,
Ambaye Mungu amemzingira kwa ukuta?+
-
-
Zaburi 88:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Umewafukuza rafiki zangu mbali sana nami;+
Umenifanya niwe kitu kinachowachukiza.
Nimenaswa na siwezi kutoroka.
-