-
Kumbukumbu la Torati 24:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Unapaswa kufanya yote uwezayo kumrudishia kitu alichokupa kuwa dhamana baada tu ya jua kutua, naye atakuwa na vazi lake anapoenda kulala,+ na atakubariki; nawe utakuwa mwadilifu mbele za Yehova Mungu wako.
-