-
Ayubu 2:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Na Ayubu akachukua kigae na kukitumia kujikuna, naye aliketi kwenye majivu.+
-
-
Ayubu 2:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Kisha wakaketi ardhini pamoja naye kwa siku saba, mchana na usiku. Hakuna yeyote kati yao aliyemwambia neno lolote kwa sababu waliona kwamba alikuwa na maumivu makali sana.+
-