-
Mwanzo 18:5Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
5 Kwa sababu mmekuja hapa kwangu mimi mtumishi wenu, acheni nilete kipande cha mkate ili mjiburudishe.* Kisha mnaweza kuendelea na safari yenu.” Ndipo wakasema: “Ni sawa. Unaweza kufanya kama ulivyosema.”
-