-
Kumbukumbu la Torati 34:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Musa alikuwa na umri wa miaka 120 alipokufa.+ Macho yake hayakuwa yamedhoofika, na nguvu zake hazikuwa zimeisha.
-
-
Ayubu 42:16Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Baada ya hayo Ayubu aliishi miaka 140, akawaona watoto wake na wajukuu wake—vizazi vinne.
-