-
Zaburi 139:11, 12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Nikisema: “Hakika giza litanificha!”
Basi usiku unaonizunguka utakuwa nuru.
-
-
Amosi 9:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Nao wakijificha kwenye kilele cha Karmeli,
Nitawasaka na kuwatoa huko.+
Wakijificha chini ya bahari ili macho yangu yasiwaone,
Huko nitamwamuru nyoka awaume.
-