Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 15:12
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Isitoshe, Absalomu alipotoa dhabihu, aliwatuma watu wamwite Ahithofeli+ Mgiloni, mshauri wa Daudi,+ kutoka jiji la Gilo.+ Njama iliendelea kupamba moto, na idadi ya watu waliomuunga mkono Absalomu ikaendelea kuongezeka.+

  • 2 Samweli 16:23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 23 Siku hizo, ushauri uliotolewa na Ahithofeli+ ulionwa kama neno la* Mungu wa kweli. Hivyo ndivyo ushauri wote wa Ahithofeli ulivyothaminiwa, na Daudi na pia Absalomu.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki