-
Zaburi 64:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Wanaunoa ulimi wao kama upanga;
Wanayalenga maneno yao ya ukatili kama mishale,
-
Methali 25:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Kama rungu la vita na upanga na mshale mkali
Ndivyo alivyo mtu anayetoa ushahidi wa uwongo dhidi ya jirani yake.+
-
-
-