-
1 Samweli 24:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Wanaume wa Daudi wakamwambia: “Hii ndiyo siku ambayo Yehova anakwambia, ‘Tazama! Ninamtia adui yako mikononi mwako,+ nawe unaweza kumtendea jambo lolote unalotaka.’” Kwa hiyo Daudi akasimama, akakata kimyakimya upindo wa joho la Sauli lisilo na mikono.
-
-
Methali 26:27Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
27 Anayechimba shimo ataanguka ndani yake,
Na yeyote anayebingirisha jiwe—litamrudia.+
-