Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 108:2-5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Amka, Ee kinanda; nawe pia, Ee kinubi.+

      Nitayaamsha mapambazuko.

       3 Nitakusifu miongoni mwa mataifa, Ee Yehova,

      Nami nitakuimbia sifa* miongoni mwa mataifa.

       4 Kwa maana upendo wako mshikamanifu ni mkubwa, uko juu kama mbingu,+

      Na uaminifu wako, unafika mpaka angani.

       5 Ukwezwe juu ya mbingu, Ee Mungu;

      Utukufu wako na uwe juu ya dunia yote.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki