-
Mhubiri 5:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Ukiona maskini wakikandamizwa kwa njia yoyote ile na haki na uadilifu zikikiukwa katika wilaya yenu, usishangazwe na jambo hilo.+ Kwa maana ofisa huyo mkuu anatazamwa na yule aliye juu zaidi yake, na kuna wengine walio juu zaidi yao.
-