-
Zaburi 107:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Walikuwa wakimlilia Yehova awasaidie walipokuwa wakitaabika;
Naye alikuwa akiwaokoa kutoka katika dhiki yao.
-
-
Zaburi 107:22Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
22 Na watoe dhabihu za shukrani+
Na kutangaza kazi zake kwa kilio cha shangwe.
-