Isaya 51:17 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 17 Amka! Amka! Simama, Ee Yerusalemu,+Wewe ambaye umekunywa kutoka mkononi mwa Yehova kikombe chake cha ghadhabu. Umekunywa bilauri;Umemaliza kabisa kikombe kinachofanya watu wapepesuke.+
17 Amka! Amka! Simama, Ee Yerusalemu,+Wewe ambaye umekunywa kutoka mkononi mwa Yehova kikombe chake cha ghadhabu. Umekunywa bilauri;Umemaliza kabisa kikombe kinachofanya watu wapepesuke.+