-
Zaburi 40:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Akanipandisha kutoka katika shimo linalonguruma,
Kutoka katika matope yenye utelezi.
Akaiweka miguu yangu juu ya jabali;
Akanifanya nisimame mahali palipo imara.
-