-
Zaburi 5:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Lakini wale wote wanaokukimbilia watashangilia;+
Watapaza sauti kwa shangwe daima.
Nawe utawakinga wasifikiwe,
Na wale wanaolipenda jina lako watashangilia kwa sababu yako.
-