-
Isaya 49:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Naye akasema: “Haitoshi tu wewe kuwa mtumishi wangu
Ili kuyainua makabila ya Yakobo
Na kuwarudisha wale waliohifadhiwa wa Israeli.
-
-
Tito 2:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Kwa maana Mungu ameonyesha fadhili zisizostahiliwa kwa kuwaletea wokovu watu wa namna zote.+
-