-
Kutoka 14:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Nami ninaiacha mioyo ya Wamisri iwe mikaidi, ili waingie humo wakiwafuatia; kwa hiyo nitajipatia utukufu kupitia Farao na jeshi lake lote, magari yake ya vita, na askari wake wapanda farasi.+
-